Posts

Showing posts from February, 2022

MUNGU AMESINZIA, AMELALA A

Image
  Tuesday, December 11, 2012 MUNGU AMESINZIA, AMELALA AU HAONI ?                        Watu wakiwa katika ibada ya sanamu Aliyelitia sikio mahali pake asisikie? Aliyelifanya jicho asione? (Zaburi 94:9) Hapa naomba tusaidiane ndugu zangu sijui wewe unamwabudu nani? Au nini? na Mungu anasemaje katika maandiko yake, (Kutoka 20:4-6) Wa kumwabudu ni Mungu Jehova/Niko ambaye niko, yahwe, peke yake, hakuna mwingine. Si mnyama simba, Si tembo,Si nyangumi wala si binadamu Juma, Yohana, Muhamed, Petro n.k wala si kitu jua, jabali,mwezi wala nyota. Kwa hiyo mitume na manabii, maaskofu, makasisi, wachungaji, watabiri, hawa wote ni binadamu watakufa na kuoza na kubakia mifupa , ila kwa uwezo wa Mungu watafufuliwa siku ya mwisho ni kitendo cha dakika moja kufumba na kufumbua (1Korintho 15:52) kwa ajili ya ujio wa Yesu ili wapokee malipo yao kila mtu kutokana na matendo aliyotenda alipokuwa hapa duniani. Kama alitenda mema atalipwa na u...