MAASI YA DUNIANI SASA !!! SODOMA & GOMORA CHA MTOTO
Wednesday, December 12, 2012 · Amuua baba yake na kumkata vipande vipande (Nipashe 14/3/1998) · Mchungaji afungisha ndoa ya binadamu na mbwa: askofu mkuu Moses Kulola ashuhudia na kulia machozi (Msema kweli 25/11/2001) · Kaka na dada wadaiwa kutiana mimba wanywa sumu na kufa (Uwazi 26/2 - 4/3.2002) · Bibi kizee abakwa, anyongwa hadi kufa (Nipashe 23/2/2011) · Mmarekani adaiwa kumtumia mbwa kumuingilia msichana (Nipashe 7/1/2012) · Mtoto “amtundika” mimba mama mzazi (Mwananchi 5/6/2012) · Afumaniwa akifananya mapenzi na mbwa (Majira 12/6/2012) · Msichana ajisalimisha kanisani kwa kukataa kumtoa kafara mama yake: ni baada ya kuwatoa kafara wadogo zake watano (Msema kweli 5/08/2012) Hayo hapo juu ni baadhi tu ya matukio machache ya kutisha yaliyowahi kuripotiwa na vyombo vyetu vya habari kwa siku za hivi karibuni, kuonyesha hali ilivyo hapa duniani. Kumbuka katika matukio kama haya yanayoripotiwa kuna mengine sababu baadhi ya watu huweza kutumia pesa au mbinu nyingine yeyote ili kul...